Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Majibu ya haraka kuhusu ufumbuzi wetu wa nishati ya jua, ufadhili, usakinishaji, na usaidizi unaoendelea.

Agalia Maswali ya Yanayojiotokeza zaidi.

Je, huwezi kupata unachotafuta? Timu yetu inafurahi kusaidia kila wakati.

Wasiliana nasi kwa urahisi kupitia fomu hii, piga simu yetu ya bure, au tembelea ofisi yetu yeyote. Tutakuja kutembelea kuona shamba lako bila malipo, kutoa ushauri ili kubaini mfumo sahihi kwa mahitaji yako.

Mifumo mingi ya umwagiliaji ya sola inaweza kusimikwa ndani ya siku 1-3 kulingana na ukubwa na ugumu wa usimikaji katika shamba lako.

Ndiyo. Tunatoa ulipaji rahishi unaokuwezesha kulipa kwa malipo ya kila mwezi. Wasiliana nasi kupata masharti ya sasa na uhalisia wake.

Tunatoa dhamana ya miaka 2 kwenye vifaa vyetu vya sola. Dhamana inaweza kuongezeka kutegemeana na bidhaa husika.

Mifumo ya jua ina matengenezo kidogo. Tunapendekeza kusafisha paneli zako kila baada ya muda fulani na ukaguzi wa mwaka. Timu yetu inaweza kukuongoza.

Bado Una Maswali?

Timu yetu iko tayari kukusaidia kupata suluhisho sahihi la sola kwa mahitaji yako. Wasiliana nasi tutakupa mrejesho ndani ya masaa 24.