Mashine za Kuchakata mazao ya Kilimo Zinazoendeshwa kwa Sola

Imarisha mavuno yako kwa kupata faida zaidi kupitia mashine zetu mbalimbali za usindikaji zinazotumia nishati ya sola zilizoundwa mahususi kwa ajili ya hali ya hewa ya kilimo cha Afrika.

Ongeza Thamani kwenye Mavuno Yako

Mashine za kuchakata mazao ya kilimo zinazotumia nishati ya jua zinasaidia kubadilisha mavuno amabayo hayajachakatwa kuwa bidhaa zilizo tiyari, kuongeza mapato na kupunguza hasara baada ya Mavuno.

Ongezeko la mapato

Bidhaa zilizochakatwa huuzwa kwa kiasi kikubwa zaidi ya mazao ghafi, hivyo kuongeza mapato yako na faida.

Inaendeshwa kwa nishati ya jua

Tumia nishati ya sola kuendesha kila kitu bila gharama ya mafuta,kwa uchakataji kuwa nafuu hata katika maeneo ya mbali ya gridi umeme ya taifa.

Inapatikana maeneo ya vijijini

Chakata mavuno yako shambani mwako, ukipunguza gharama za usafirishaji na kupunguza hasara za uharibifu.

Mashine za kuchakata mazao ya kilimo

Mashine zenye ubora wa hali ya juu za uchakataji zinazotumia nishati ya jua iliyoundwa kuongeza thamani baada ya kuvuna kwa Afrika Mashariki nzima.

VUNA SOLAR MILLING MACHINE
Mashine ya Kuchakata

VUNA SOLAR MILLING MACHINE

VUNA SOLAR HULLING MACHINE
Mashine ya Kuchakata

VUNA SOLAR HULLING MACHINE

VUNA SOLAR CHAFF CUTTER
Mashine ya Kuchakata

VUNA SOLAR CHAFF CUTTER

VUNA SOLAR THRESHING MACHINE
Mashine ya Kuchakata

VUNA SOLA MASHINE YA KUPUKUCHUA

Aina za Mashine za Kuchakata

Mashine ziliundwa maalumU kwa kila hatua ya uchakataji wa mavuno baada ya kuvuna ili kuyaongeza thamani.

Mashine ya kusaga

Mashine zinazsaga nafaka kuwa unga kwa kutumia nishati ya jua zenye uwezo wa mkubwa.

  • Usindikaji wa uwezo wa juu
  • Uzuri unaoweza kubadilishwa

Grain Threshers

Separate grains from stalks and husks quickly and reliably with high-performance solar threshing solutions.

  • Reduces post-harvest loss
  • Saves time and labor

Fodder Cutters

Process fodder and agricultural residue into easily digestible animal feed with robust solar-powered cutters.

  • Uniform cutting size
  • Ideal for livestock feed

Faida za Mashine za kuchakata Mazao zinazoendeswha kwa Sola

Ongezeko la mapato

Bidhaa zilizochakatwa huwa na bei nzuri zaidi sokoni,ikizidisha mapato kwa kila mavuno yako.

Inaendeshwa kwa nishati ya jua

Nishati mbadala ambayo ni Safi,Isiyotoa moshi wa mafuta, inafaa sana kwa maeneo yasiyokuwa na Gridi ya umeme ya Taifa.

Inapatikana maeneo ya vijijini

Uchakataji unafanyika katika eneo husika la kilimo au uzalishaji vijijini, bila uhitaji wa kuwa na umeme wa gridi ya Taifa ama matumizi ya mafuta.

Mafunzo na Usaidizi

Usaidizi wa kina kutoka kwa usakinishaji kupitia shughuli zinazoendelea ili kuhakikisha mafanikio yako.

1

Usimikaji

Mpangilio wa kitaalamu wa mashine yako ya kuchakata inayoendeshwa kwa mfumo wa nishati ya sola na kujaribiwa vema.

2

Uendeshaji

Tunatoa mafunzo kwa timu yako jinsi ya kuendesha kila mashine kwa usalama na kwa ufanisi.

3

Matengenezo

Himizo la kujifunza taratibu za matengenezo ya mara kwa mara ili kuifanya mashine yako iendelee kufanya kazi kwa kiwango cha juu.

4

Huduma endelevu

Timu yetu ya ufundi ya utoaji huduma inakufikia,ikiwa na vipuri, na ukaguzi wa mara kwa mara kwa ufanisi endelevu.

Je, uko tayari kuwa na mageuzi katika Mavuno Yako?

Kuwa shemu ya wakulima wa Afrika Mashariki nzima ambao wanaongeza mapato yao kupitia uchakataji unaotumia nishati ya jua. Hebu tukusaidie kuongeza thamani ya mavuno yako.

Ushauri wa Bure Ufumbuzi Maalum Mafunzo Pamoja Matengenezo Yanayoendelea